Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NAMBA MPYA: Hallo tunaongea na Iddy bakari?

MIMI: Ndio mimi Iddy bakari.

NAMBA MPYA :Unachezaga tatu mzuka?

MIMI:Sana kaka nacheza mpaka 60,000 kwa siku na nilijua ntakuja kushinda tu siku moja, nimeshinda shilingi ngapi kaka?

NAMBA NPYA: Ok,kumbe unaweza kucheza mpaka 60000 kwa siku lakini huwezi kutoa matunzo kwa mtoto wako...... Tunaomba uje kwa mkuu wa mkoa Dar es salaam kesho saa nne asubuhi.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*Hapo ndio utajua kama Mtwara kuna Bahari lakini Wamakonde si watu wa Pwani[emoji12][emoji12][emoji12]***[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂
 
RAIS wa zamani wa Real Madrid, Ramon Calderon amedai kwamba klabu yake hiyo ya zamani inamtaka staa wa Tottenham, Harry Kane katika dirisha lijalo kubwa la majira ya joto na itatoa ofa kwa ajili ya staa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…