Ila hukulala nyumbani, ulikuwa wapi?Usiku mwema wakuu humu ndani. Makwazo ya leo yasifike kesho, Mungu akipenda atuamshe salama kabisa tukiwa na afya njema. Mapenzi yake yakatimie. Amen
IndeedWe blessed together
To live or not to live. That's the question my friend!Na hakika tumewezeshwa kuiona leo basi nasi hatuna budi kuiishi
IndeedDunia ni Familia na sio kijiji TeNa
toa likes upate likesnipo
nasoma mashairi hapa nataka niwe romantik kdogo, u romantik wangu unapotea potea
Weeee shindwa kbs,usinipeperushie andjul wangu bure.Nilikuwa najaribu kama anatoa au hatoi
Nini hikikaribun
Kama ni mwanaume hapa kwa kweli umepata bageshi. Tayari nimeshamzomea mara mbili hapa baada ya kumfuma akikonyeza mabinti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahha hebu rudi nyumbani kwanza.
Kafanye kazi salama kamanda...Naomba niwaage ntarudi badae wapendwa
CookiesNini hiki
Haaa nishazikupa nyingi tu hasa ile ya kata Mti panda mti nimekuuliza application yake ni wapi??Weka likes pata malike
Asante mkuuMkapokee Mbaraka muingiapo na mtokapo
Yaan hapa ni pasua kichwa ila inabidi nikomae tuKama ni mwanaume hapa kwa kweli umepata bageshi. Tayari nimeshamzomea mara mbili hapa baada ya kumfuma akikonyeza mabinti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa MOTHER EARTHHaaa nishazikupa nyingi tu hasa ile ya kata Mti panda mti nimekuuliza application yake ni wapi??
Hii inasaidia sanaHb quigley
Waenda wapi tena mkuu ama hupendi likes wewee!!Naomba niwaage ntarudi badae wapendwa