MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Boys 2 men
Kule kama unataka matusi ila likes zipo hukuWengine tushazoea kupata like kuleee jukwaa la Siasa!
Aisee juzi sikukuona ata jana nimefatilia record ya aliekesha sijapata mtu
Mimi Jf yangu Haina sehemu ya like zaidi ya dislikeNdio... usisahau na wewe kutoa likes
Kule like uongee point or utake attention ya WATU vinginevyo utambulia matusiKule kama unataka matusi ila likes zipo huku
Unataka kusema unaendaga usiku mnene?Huku hakuna wa kukesha ndo maana sipo huku
Aah hahah!! Rafiki acha na mimi nipinvane na wewe japo davido namkubali piaObo Davido
Hahah!! Kule ni hatari sana unawezapata vidonda vya tumbo na ndio jukwaa lililosababisha shambulio kwa JfKule like uongee point or utake attention ya WATU vinginevyo utambulia matusi
Toa kama unavyopewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku patamu ngojaaaaa ni boast like zifike kama 100
Huu Uzi ndiyo nauona Leo zaman nilikuwa naudharau
Toa hizo dislike tuzioneMimi Jf yangu Haina sehemu ya like zaidi ya dislike
Natumia tor browser Haina sehemu ya like wale wajanja wa dp web wamehackToa hizo dislike tuzione
Sure MdauJf buana!watu wanaushirikiano sana.sijui tuanzishe saccos!!