Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,407
- 20,572
Kama dozikutwa mara 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama dozikutwa mara 3
Umeamka sa ngapikama kawa mkuu
sana tuKama dozi
Hivi mkuu umelala kweliHahahaha
wala hatathubutu yoyote kumgusa wala kuuondoa mileleMaana MAMA TANZANIA ana ulinzi wa Mwenye Enzi Mungu!
imetosha kabisa kam kuna sehemu hawakuiba sawasawa basi IMEKULA KWAOHakuna foreigners wowote watakao ibia nchi yetu tena
Hahahaha nimelala, nimeamka saa 11 asubuhi, kucheki uzi bado uko live....awesome nika jump in!Hivi mkuu umelala kweli
Siku zote ni mwingi wa hurumaMwenye Enzi Mungu anaanza upya nasi!
Kwa kweli nyiramba girlimetosha kabisa kam kuna sehemu hawakuiba sawasawa basi IMEKULA KWAO
Niliwahi kusema jibu la kwanza la uzi huwa lina nishangazagaBAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
hukuamka G.M mkuu[emoji23] [emoji23]Hahahaha nimelala, nimeamka saa 11 asubuhi, kucheki uzi bado uko live....awesome nika jump in!
pamoja ISISKwa kweli nyiramba girl
kwa nini mkuuNiliwahi kusema jibu la kwanza la uzi huwa lina nishangazaga
asiwepo wa kupona hata mmojaMwenye Enzi Mungu tunakuomba utupe viongozi wazalendo wanao jali nchi yetu kwa dhati! Wanafiki na waroho wafe wote na vizazi vyao!
Na iwe hivyo milele yotewala hatathubutu yoyote kumgusa wala kuuondoa milele