Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Poleni sana. Ndiyo mpira ulivyo !!![emoji23][emoji23][emoji23]dah bro umetupigilia misumali dah
wanajagwani oyaaaa!
ha ha ha mimi sijamficha wala sio mnafiki nimemwambia 'uchawi hauendi kwa mentali'Ha ha ha, nimeusoma nikaupita juu kwa juu sijamwambia chochote. Nlichoona anachukia sana tunavyopeana likes..
Kweli kabisa,,tunawahitaji kwa wingi sana tuTena waje kwa wingi ila tu waache mapovu huko huko watokako...na siasa. Na dini...Waingie kwenye stress free zone
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nani kasema kiswahili ni rahisi??? Hebu jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia NDIO au HAPANA;
1)……………, mimi ni chizi
2)……………, mimi ni bwege
3)……………, mimi sina akili
[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh !Check out this article from USA TODAY:
'Avengers: Infinity War' blows up the box office: Biggest opening weekend ever
'Avengers: Infinity War' blows up the box office: Biggest opening weekend ever
[emoji3][emoji3]"kama hivi mkuu"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]You dont even have a passport but your naked pictures are in America.
My sister you made it.[emoji23][emoji23][emoji28][emoji119]
Hakuna cha maamuzi wala nini. Akiletewa ile kitu isiyomaliza utamu kwisha habari yake fulu magego na si ajabu yeye ndo ataishia kuomba msamaha...[emoji16] [emoji16] [emoji16] akishindwa kufanya maamuzi basi hata kuja kufanya maamuzi yoyote
unadunda sio?[emoji16][emoji16][emoji16]Poleni sana. Ndiyo mpira ulivyo !!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ile kitu habari nyingine aisee, mtu anakuwa mdogo km piritoniHakuna cha maamuzi wala nini. Akiletewa ile kitu isiyomaliza utamu kwisha habari yake fulu magego na si ajabu yeye ndo ataishia kuomba msamaha...
Duh !
Black Panther hawaoni ndani eeh?
Smart move kwa producers kwa sababu kuna hawa weusi wenzetu wasio na culture hawa Black Panther kwao imekuwa kama dini...Nadhani Black Panther imechangia hapa, kwani kuna watu walikuwa kwenye hiyo movie ambao wako kwenye hii, Avengers!