Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata kama Mamelodi wangepoteza mchezo huo wangetwaa ubingwa kwa kuwa timu iliyokuwa na uwezo wa kuwafukuzia Orlando Pirates ilipoteza mchezo kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya Cape Town City.
Tayari Mamelodi na Orlando wamejikatia tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao.
 
Hata kama Mamelodi wangepoteza mchezo huo wangetwaa ubingwa kwa kuwa timu iliyokuwa na uwezo wa kuwafukuzia Orlando Pirates ilipoteza mchezo kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya Cape Town City.
Tayari Mamelodi na Orlando wamejikatia tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao.
 
Shirikisho la soka Afrika, (Caf) imemfungia mwamuzi wa Nigeria, Joseph Ogabor kutojishughulisha na soka kwa mwaka mmoja kwa kosa la '' kujaribu kufanya udanganyifu kwenye mechi''.
Caf imesema uamuzi huo umekuja baada ya uchunguzi kufanyika na kupata ushahidi ambao uliwasilishwa kwa maafisa wa mechi hiyo nchini Afrika Kusini, ambao Ogabor aliwataka kutoa ''usaidizi wa kiufundi'' kwa timu ya Nigeria.
 
Plateau United ilitahadharishwa kujiepusha na vitendo vya ukarimu kama kutoa zawadi ambavyo vilionyesha kuwa na nia ya kutoa tafsiri mbaya.
''Shirikisho la soka la Afrika Kusini wameamriwa kuomba radhi kwa shirikisho la soka la Nigeria baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa hakuna ushahidi wa afisa yeyote wa shirikisho hilo kujihusisha na rushwa ya kiasi cha dola za Marekani 30,000''. ilihitimisha taarifa hiyo.
 
Kuna mmoja keshapigwa hapo, 1-0 mwingine mpaka sasa anapumulia kwenye mashine, 2nd half, 1-1 [emoji124][emoji124]... Embu naomba matokeo ya MC na West Ham bhana! [emoji1][emoji1]

A e i o u hizi ni herufi kuu tamka kwa sauti kuu A E I O U

mbuga za wanyama Tanzania ya kwanza ni serengeti ngorongoro manyara na mikumi oooh Tanzania oyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…