Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kula like japo ulichokiongea sijakielewa
Fikiri kwa makini kwa kina lazima utaelewa,
kama mada za Jf zinazosikika unaelewa,
Shaka juu yako umeketi nadi umelewa,
Elewa nacho maanisha kama mitaa ya uswazi ulipolelewa,
Ukishindwa, huu mzigo kwako mgumu tua chini utalemewa.
[emoji51] [emoji16] [emoji380] [emoji380] [emoji87] [emoji378] [emoji379] [emoji375]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…