Blu-Ray diski inaweza kuhifadhi taarifa za kuanzia ukubwa wa GB 30 hadi GB 100. Na inatumia kisomeo(Deck) maalumu kilichopewa uwezo wa kusoma taarifa katika kifaa hiki na si zote zinaweza kusoma taarifa katika blu ray DVD.
Hata hii yenyewe inakuja katika aina tatu kama zilizotangulia.(Blu Ray-ROM, Blu Ray-R na Blu Ray-RW).