Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Polisi mkoani Mwanza, inamshikilia mfanyabiashara wa samaki, mkazi wa mtaa wa Mahakama wilayani Ilemela, Nicholas Light (25) kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Victoria Swai (26) kwa kumnyonga, kwa kilichodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…