Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8.AINA IPI YA RANGI UNAIPENDA SANA KATI YA HIZI
a.Nyekundu au machungwa
b.Nyeusi
c.Njano au blue mpauko
d.Kijani
e.Blue iliyo koza au zambarau
f.Nyeupe
g.Kahawia au kijivu
 
Kuna askari mmoja wa Ufaransa (jina nimemsahau) aliwahi kushauri kwamba:

"Kamwe usipigane vita kama hutafaidika kwa namna yo yote na ushindi utakaoupata"

Ni ushauri mzuri !!!
Yeah ni kweli badala ya kupoteza nguvu zako katika mambo ambayo sio ya msingi una reserve hiyo nguvu kufanya vitu vya msingi....vingine unaignore tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…