Gr8Uzima upo?
HahahahaNdo nawaamkia
Kulq likes mkuu mzee wa ikwiriri mwizi wa njiwa na kukuNdo nawaamkia
Kula likes huku nikitafuta upenyo nikutandike rungu la kichwa.Uzima upo?
hahahhahhh...mkuu inaonekana na ww ni muhanga eeh..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kote huko khaah! Tunataka July mambo yawe bam bam
Na mbwembwe zote za salary kupitia BOT kweli iwe patupu jamani jamani kweli!!!! [emoji30]
daaah..pipoo mmejipanga...70k lengo la leo ni mapema sana