Ya mwiliNdiyo ipi hiyo mkuu ??
Niambie tucheke wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiyo.Uja tamani chochote kile???
Unakuta binti anatamani kupata mtoto wakati yupo secondary mkuuNdiyo ipi hiyo mkuu ??
Ukame wa niniJamaa alikuwa na ukame labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha sana aisee,vp pale cage kipande cha kwanza kabsa anashambulia kwa bunduki halafu kavaa miwani yake ile mkononi ana bunduki mkono mwingine kashika chupa ya wine halafu yupo na mtoto mkali,unaikumbuka hii Part mkuu?
Death is the ultimate prize
Who needs money to begin with
Wa likes?Acha uchoyo