Hiyo namba 10 utata, akimpa mimba huyo mshua nae atalipiza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] sio mieeeToka amebadiri avatar, humu ndani imekuwa balaa, hiki kiavatar kmekaa kishari shari tu[emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa jaman si nimeona mfanano jaman na hamna utofaut bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hilo mimi nililiona kweli yani dk mbili mbele na kawa msumbufu huyo mana kuna siku kaleta vicheko humuToka amebadiri avatar, humu ndani imekuwa balaa, hiki kiavatar kmekaa kishari shari tu[emoji16]
Sijui hata atabadiri lini hii avatar japo tupumzike na hv vicheko vyakeMkuu hilo mimi nililiona kweli yani dk mbili mbele na kawa msumbufu huyo mana kuna siku kaleta vicheko humu