Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahaa davert ana mwaga flow kama chumvi uvinza "" na mimi na wapaka choo" kwa hzi dis na maliza " ...ndni ya sixteen bars " bonge la pini track" wazushi hawataki" navyo wachoma kama mishikaki"" flow kama kanye " magharibi " west "
jifanye BAUNSA nikufanye" soccer taribo west""
nakimbiza mpka waliosifiwa wakapitiliza kwao" hao " wanajua mimi ndiye shemeji yao ""Dada zao beki zangu hazikabi kwao "ukwasi kama farao" ya musa yanafurahisha yajayo""

hahaaa Usiku mwema wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…