Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana,
Uzi huu una kila aina ya mahitaji yetu,
Ucheshi upo
Elimu inapatikana hapa
Ulozi upo
Mitongozo ipo
Injili imejaa
Ilmu ipo
Dondoo za afya
Michezo
Unakumbushwa muda kila wakati
Cartoon zipo
Burudani zipo
Uongo upo
Maarifa ya kila aina yanapatikana
Nyimbo kila aina
Yaani ni kuingia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…