Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Atabaki kuwa MUNGU wako hata kama hakujibu maombi yako, nasema hivo kwasababu, wakati wewe hakujibu kumbuka kuna wengine anawajibu na wanamtukuza kwa hayo.
Subiri jibu lako kwa wakati ulipamriwa kwako. Kumbuka MUNGU wetu hachelewi wala hawahi, bali hujibu kwa wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…