Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijamaliza kusoma yote. Kiufupi Zitto anasemaje? Kwani Vodacom ni kampuni ya serikali ama ni binafsi. Kama ni binafsi si wana uhuru wa kuajiri CEO ye yote wanayeona kuwa anafaa? Au sheria za kazi na ajira zinasemaje katika makampuni binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…