Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani jamani
Ndo naamka sasa
Nakwambia bora hata usinge ingia kutoka humu ni ngumu sana...Hizi mada zingine huwa mnajifikiriaje ninyi!🙂🙂
Tupo ....nimelewa likes walahiTeam likers bado mpo..
ellymckoye,ISIS,wambura wa Itind,kichwa kichafu,vump,Mango833, Mark Msue
Tupia ka like kwa mleta uzi hapo juuhabari ya humu ni kulike tu basi
na bado tunadai chenji ya makinikia....unga wa ugali tunalishwa pumba hii nchi uchakachuaji hautokwisha na nimewaza huo mchele wa plastic soon utaleta side effectMchele feki, sukari feki, asali ya tabora ina nicotine, samaki wana sumu za mabomu, mafuta ya alizeti yana sumu, maji karibu na migodi yana zebaki, hewa imechafuliwa.....jazieni
Addiction flani hiviNakwambia bora hata usinge ingia kutoka humu ni ngumu sana...
Nilikuepo toka mwanzo na nikapotea kidogo maana nilivembewa na likeJana sikukuona humu best
ndio jibu ni[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Swali:Kanuni ya uzi huu? Jibu:kubonyeza [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] no matter what.
7Mchele feki, sukari feki, asali ya tabora ina nicotine, samaki wana sumu za mabomu, mafuta ya alizeti yana sumu, maji karibu na migodi yana zebaki, hewa imechafuliwa.....jazieni