Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mada ya usikuuuu
Clear Penalties... NOT PENALIZED.Barca anabebwa sana la liga
Lala bibieBana eee nataka kulala achen basi kuchat[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ***** ndio nn?una baashi ya wanaume wanatamani wakati wakiwa wanafanya mapenzi na wenzi au wapenzi wao basi **** zao ziwe zinasimama muda mrefu mathalani masaa matatu au manne au zaidi huku wakimwaga shahawa eti tu wawaridhishe wenzi wao au ili waonekane ni wanaume waliokamilika. Wanaume wengine wamekuwa wakitumia dawa za kusimamisha **** kama vile viagra au dawa za asili na zingine maarufu kama dawa za kimasai! Napenda nikwambie kwamba hizo dawa zina madhara makubwa kwa urijali wako na uko hatarini kuupoteza hata huo urijali mdogo uliosalia!
Leo kabebwa madiridiBarca anabebwa sana la liga
Usilale bhanaBana eee nataka kulala achen basi kuchat[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elimu muruaSambamba na hayo, watalaam wa afya hueleza kuwa juisi ya zabibu (divai) husaidia tumbo na utumbo kufanya kazi vizuri na kuzuia ukavu wa haja kubwa , lakini pia divai huimarisha afya ya mishipa ya damu katika mfumo wa kumeng;enya, kusaga na kusharabu chakula na viini lishe.
Kama messi pale hata shimba anafungaLeo kabebwa madiridi
Penaldo alipofunga pale hata wewe unafunga
Hali wali mkavu.Ni kweli,ila mgaagaa na upwa...
kusaka hela ya vochaaaUsilale bhana
Kama wewe shabiki wa Barcelona nikija kesho asubuhi tusisalimine
[emoji124]
Kama wewe shabiki wa Barcelona nikija kesho asubuhi tusisalimine
[emoji124]
Leta ushahidiUlisema unaenda kuvunja record ya kutofungwa mkuu sasa sijui ungeivunja vipi bila kitufunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]