[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kila siku USIKU tu, huoni kuna siku waweza sinzia nayo mdomoni??Kwema kabisa..
Asubuhi pipii zinalewesha...usiku ndio safii
Kwema kabisa mkuu mwenzanguMkuu pyaar,
Kwema?
Salama ndugu, kwema?Mkuu davet,
Habari za hivi sasa?
Hahahah jamaa kaamua kusali mpaka msosi uishe,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28], ningekuwa mie ninge disapia fasta
Kasahau kabisa [emoji23][emoji23]Hahahah jamaa kaamua kusali mpaka msosi uishe,
Amesahau alivyokuwa aki demand condoms. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwema...kwako jeMkuu Myoyambendi,
Kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili suala linakuaje, huyu dada amekuja mara ya tatu ofisini kwangu kutoa gesi. wanawake wa siku hizi hamna aibu?