Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klabu ya Manchester United imethibitisha kwamba kocha wao huyo wa zamani, amefanyiwa upasuaji wa dharura. ‘Sir Alex Ferguson amefanyiwa upasuaji wa kichwa, ana tatizo la Haemorrhage kwenye ubongo,’ ilisema taarifa ya Manchester United.
 
Mtoto wa Ferguson, son Darrren, ambaye ni meneja wa Doncaster, hakuwepo kwenye mchezo wa mwisho wa timu yake na Wigan, kutokana na suala hilo la kifamilia. Taarifa ya klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ilisema: ‘Darren ametaka kuwepo na faragha zaidi katika ishu ya baba yake, na ataendelea kutupatia taarifa zaidi kila wakati.’
 
Kwa mujibu wa Gazeti la Times, gari ya wagonjwa iliitwa nyumbani kwake maeneo ya Cheshire ikiwa ni saa 3:00 asubuhi na kumuwahisha Hospitali ya Macclesfield. Hata hivyo, baadaye alipata rufaa na kupelekwa Hospitali ya Salford Royal. Wachezaji wa Man. United walikwisha taarifiwa hali ya Ferguson kabla ya klabu hiyo kutoa taarifa za kocha huyo kwenye vyombo vya habari na jamii kwa jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…