ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Jambo TanzaniaJambo Africa
Mmmmh... si ndiyo nasahau kila kitu. [emoji41] [emoji252] [emoji252]Madini anayotuma BAK yanakutosha kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] likes kwa hesabu mzee au wewe unatembezaga tu upendo?
Jambo AfrikaJambo TZ
Skrinishoti kwaaaaaaa !!!Wakati mwingine hutu tuna raha zake tu
EehhhhEti eeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kawachore kina SIZONJEBado nusu saa mtihani uanze.
Sijasoma nyie mnanipotosha eti... [emoji27] [emoji433] [emoji432]
Wapotezee
Hapa hamna afrika hapa Jf. [emoji1] [emoji252] [emoji252]Jambo Africa
Kula burdani achana na mambo ya mitihani weweMmmmh... si ndiyo nasahau kila kitu. [emoji41] [emoji252] [emoji252]
Hahaha kuna ID zingine hazi like back.Wewe gonga likes masuala ya ID baadaye Mimi wakati mwingine hata post sisomi ni like tu
[emoji15] [emoji87] naogopa jela.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kawachore kina SIZONJE
Asiyekupa mnyime. Ukauzu kauzu ndo mwendo hahahahaHahaha kuna ID zingine hazi like back.
Bila kumsahau DAB...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kawachore kina SIZONJE
[emoji102] [emoji15] [emoji87] eti.... Wakati nataka kuwa mkemia.Kula burdani achana na mambo ya mitihani wewe