*kuna watu wengine hua na roho ka ya ngamia.jamaa tumerent na wewe nyumba ya mabati lakini unabuy woofer inapita rent yako ya mwaka.shida huja sasa time umekam na mrembo unapata ninja imeweka volume yote.wewe nawe unaona haka ni ka opportunity ka kusave tokens unakosa kufungulia kasony kako. Wakati umenyandua mrembo vizuuuri anakuita tu uncle huko, ibilisi inazima ngoma pap! Na kuna wamama apo inje.Hapo ndio unapatanga umewekelea dem magoti kwa mdomo*[emoji23][emoji23][emoji119]