Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amesema kwamba zita-collapse huko mbele ya safari
Hao kina Carstens, Roubini, Buffet Wao niwataalam wanajua mengi kuhusu mfumo huu maoni yao ni muhimu, binafsi naona dunia imekubali. Wafanya biashara wengi hasa wadau wa Technology wameipokea. Bitcoin ni changamoto kwa ma Billionare, watu wenye pesa mingi! Ila watu kama mimi, ni fursa chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…