Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nikweli hiyo yote inadhihirisha ushindani wao....

Ila Mamelodi watu wabaya nakumbuka ile final walichezaga na TP Mazembe yani dakika za mwisho walifanya unyama ambao sijawahi kuushuhudia kwenye mpira...
Hahah hawa jamaa na mazembe mm huwa naona kama ndo viboko wa timu za Uarabuni, zile timu kwa miamba hii huwa zinapoteana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…