MarahabaaaJana usiku sijaingia humu hapa ninahis kama niko na fevor....haahaahaha nishakuwa addicted
BTW habari zenu ndugu zanguni?
Heeeee....Huwa inapita shaaaa kama poti akienda kuvua samaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe si ulienda kwa paper tulikuwepo kwa sanaMahudhurio leo yamepungua kuna watu wamedoji leo..
Pyaar
Mzee wa liver
Shimba ya buyenze
[emoji23] au hawana bando leo.
Good morning MkuuMamelodi sundown fc
Good morning mkuuHahah dah toka lini mkuu nmekuwa chanzo cha taarifa
Good morning mkuuMKUBWA HASEMWI.
nawatizama nasema hiiiiiiiii.... [emoji23]
Mkuu unafuatilia ligi ya southSana mkuu, sema olrando pirates msimu huu wako vizuri japo bado hawawezi ishusha mamelods,, sema nasikitika kwa mabingwa watetezi Bidvest na supersport wanahali mbaya aisee
Ligi tamu sana ileLigi tamu sana ile yani bingwa mtetezi anapumulia mipira na huyo supersport ndio yupo danger zone bila jitihada na juhudi atashuka
Good morning LedadaMwenye macho siku zote haambiwa tazama best[emoji2]
YapLigi yao iko vizuri sana mkuu,, na inaushindani sana