mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HAPPY HUMP DAY!
[emoji179][emoji179][emoji179]View attachment 770871
Na mablanketi chapa mtu muhimu sanaKuelekea msimu wa baridi..
Masweta yanahitajika..
Morning mkuuMakofi mengi kwako.[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Gr8 kwa kweliJana usiku sijaingia humu hapa ninahis kama niko na fevor....haahaahaha nishakuwa addicted
BTW habari zenu ndugu zanguni?
AmeeeenHatimaye ni asubuhi nyingine iliyofanywa na Mungu pekee,
Kuna watu sahivi wapo vitandani yaani japo wewe sio mtabiri lakini unaweza bashiri huyu kesho haioni.
Lakini wewe ni nani hasa unaafya njema?
God is Good say Amen if you believe.
Salama kabisa tunashukuru mwenyezi kwa kuiona Siku hii ya leoSafi ..kwako je
Dance inaleta burudani (odi) [emoji445] [emoji445]Dance imeshika mashinani(odi) [emoji445]
[emoji120] [emoji120] Mungu ni mwema sanaHatimaye ni asubuhi nyingine iliyofanywa na Mungu pekee,
Kuna watu sahivi wapo vitandani yaani japo wewe sio mtabiri lakini unaweza bashiri huyu kesho haioni.
Lakini wewe ni nani hasa unaafya njema?
God is Good say Amen if you believe.
Morning MzeeGood morning Ledada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakikaUraibu[emoji12]
Morning mkuu