Hao Kazer wanapiga mpira mwingi balaaLigi tamu sana ile
10:4707:46
Ilishanipita kushoto sasa [emoji23]ESPN
Ndo maana mie najipakiaga tu mafuta ya nazi yasiyo na mikemikali,Yanatengeneza vipodozi kwa viambata ambavyo havijafanyiwa majaribio halafu hawaanzi kuviuza huko kwao bali wanavileta Afrika. Halafu wanafuatilia matokeo ya vipodozi vyao kwenye miili ya waafrika. Kwa nini wanatumia miili yetu kama sampuli za majaribio? Ni kazi kwako kujibu swali hilo.
Salama mlinzi wetu[emoji23] uko poa?Habari zenu humu ndani?
HATUPOI[emoji23]hatupoi