Hahahaha! Ila wanaume wana shidaMoja kati ya vyuo vikuu vya juu nchini Zambia kimewaonya wanafunzi wa kike kutoingia maktaba wakiwa ''nusu utupu''kwa sababu vitendo hivyo vinawafanya wanafunzi wenzao wa kiume kutokuwa makini.
Chuo kikuu cha Zambia kimeweka matangazo kwenye maeneo ya maktaba kikiwataka wanafunzi wa kike kuvaa vizuri.
Unampa nafasi nan?Tusubiri tuone bro!!
Nani huyo mkuuInakuwaje mtu unampa like 11 yeye anakupa like moja!!
Naanza kutengua uteuzi wa likes