Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] Una ugomvi na Mwakaleli wewe
Hizi pande mbili ni za watani wa jadi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Historia kwa mababu zetu (mimi ni mjukuu wa chifu) ilikuwa ni rahisi sana msukuma/mnyamwezi kuoa/kuolewa na mnyakyusa kuliko kabila lingine lolote hapa Afrika.
Wanyakyusa na wasukuma kwa asili tamaduni zao zina fanana,achana na ukubwa wa uzao wao.
Nakumbuka babu yangu aliwahi kusema kuwa alipata rafiki wa kisukuma wakati wa uzinduzi wa kanisa la Moravian mkoani Tabora, ili kuimarisha urafiki wao, babu aliozesha watoto wake wawili wa kwanza kwa wasukuma.
Nimeishi kwenye familia ya mzee Shija.Ni babu yangu, mwache Shimba anitanie atakavyo, asili yetu inaruhusu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…