Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkufunzi wa Southampton Mark Highes anazidi kupata uugwaji mkono na wachezaji katika uwanja wa St Mary kuendelea kuiongoza klabu hiyo licha ya kuwa katika kiwango cha hatua ya kushushwa daraja mwishoni mwa msimu huu. (Telegraph)
 
[emoji23][emoji23][emoji28], nimekupata vilivyo
 
Uzuri wake lina maksi 3,unaliacha linakuwa la mwisho baada ya kuona "probability" ya kumaliza maswali yote is not equal to one. Ndo raha ya probability..... Kazi kwake Liverpool kama atarembua au atakaza kiuno ili asitemewe "mate"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…