Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tiketi za mechi kati ya Huddersfield dhidi ya Arsenal, ambayo ni mechi ya mwisho ya Arsene Wenger kwa the Gunners , zinauzwa kwa zaidi ya £200- licha ya onyo kwa mashabiki ''kunyanyaswa.'' (Huddersfield Daily Examiner)
 
Meneja wa Brighton Chris Hughton anatarajia uhamisho mwenye utaratibu kuliko wa msimu uliopita wa majira ya joto ambapo wachezaji saba walisajiliwa - sasa klabu hiyo imedhibiti wadfa yake kwenye ligi kuu Uingereza. (Argus)
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Tulipewa amri kuu ambayo ni upendo, Upendo ni kila kitu.
Mimi naipenda ile amri ya ngapi sijui!!?? [emoji20] [emoji20] [emoji20] inasema "peaneni bila hiana"[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…