Wazi budaSi lazima uwepo dada angu lakini yaweke moyoni maneno ya wasukuma [emoji2]
Sawa kakaDah,, usiku mwema bro!!acha nilale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akikujibu nitag pls
Duh ushatua koromijeeeUsiku mwema wapendwa. Asanteni kwa vicheko. Mungu Atubariki tuione kesho yenye mibaraka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Karibu braza..
Kama unammendea sista angu sema tu ila andaa ng'ombe wa kutosha...Huwa nadai mahari kwa nguvu !!!
Kweli JPM kakaza vyuma kaka Shimba ana niuizia mama watoto nipeleke ng'ombe tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I feel your pain jirani [emoji23]
Usku mwema kakaUsiku mwema wapendwa. Asanteni kwa vicheko. Mungu Atubariki tuione kesho yenye mibaraka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]