[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Naona post umeirudia tena kwa mara nyingine [emoji23]....
Bora nistop haya makimbizano tu kuliko kusubiri yajayo
Yaani kama ukifanikiwa kutoboa naimani tutatoboa wengi leo... hiiii yani wadada mnakuaga na nguvu sanaKweli etii
Nnavyo blush hapa [emoji4] [emoji4]You are so humble
Sawa bhana au unapenda kukimbia mbio ndefu?Yah ipasavyo mkuu yaani kindaki ndaki
Hahah nimekusoma mkuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza acha hizo mi sjarudia post
Nilikuwa nakwambia tabia za rafiki zangu humu nika kukumbushia na wimbo.
HahahaHahah nimekusoma mkuu...
Vipi jana game yako uliicheck?
Hahah!! Uzalendo ukakushindaHahaha
4th quater mwanzoni tu nililala maana nkiona Jazz wamezidiwa mbaya
Nikaona bora nilale tuHahah!! Uzalendo ukakushinda
Kwema sanaAcha tu rafiki mambo mambo hayakua sawa ila soon nitarejea kwenye ubora wangu...
Vipi lakini kwema?
Ledada naona ananifanyia kampeni[emoji3] [emoji3]Safi sana mpe ushauri mzuri
Is [emoji115]a song?Back at it