Mkuu, wenzio huku asubuhi hii, lala upumzike...Kumumunya mumunya asubuhi asubuhi hii kuna raha yake jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi hapa Koromije kumekucha. Au hutaki nami nimumunye asubuhi hii kama jirani yangu mpendwa?Mkuu, wenzio huku asubuhi hii, lala upumzike...
Hahahaha!!! Kama raha yako waipata katka kumumunya asubuhi, mumunya tu mkuu...Hata mimi hapa Koromije kumekucha. Au hutaki nami nimumunye asubuhi hii kama jirani yangu mpendwa?
[emoji23][emoji23]
Hayo ndiyo maneno sasa.....Hahahaha!!! Kama raha yako waipata katka kumumunya asubuhi, mumunya tu mkuu...
.........
Hahahaha!Hayo ndiyo maneno sasa.....
[emoji23][emoji23]P.E - Physical Education
View attachment 773000
Kweli kabisa..[emoji16][emoji16]Hasa kama kimumunywa umemwibia kioze. Utamu maradufu !!!