[emoji124] [emoji124] [emoji124] kuwa muangalifu binti yangu, huyo kijana hubadilika badilika mithili ya kinyonga.
Ukiona ana post nyimbo, parabo na anauliza maswali magumu magumu ambayo ukiyajibu kwa ufasaha unazawadiwa BANNED, ujue tayari kakukimbia...