Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]haya we mie naangalia tu..
Unaogopa upendo?Nilikwambia naogopa
Mkuu salama lakini maana ujio wako naona unakata umemeNilikwambia naogopa
Sio kwemaMkuu kwema lakini
Picha hii ni heshima kubwa sana na hainifai kabisa dadaangu. Lakini nimepepesa macho hadi kuuule kwenye maji siioni jibapa. Bila hiyo kitu bora nilale home tu
Hahaa acha kabisa,hizi mbio zina raha yake aiseehOpssss zilikua mbio kali sanaView attachment 533168
Maana linakuwa janga la kitaifa sasaMAUAJI KIBITI: Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema itaanzishwa Kanda Maalum ya Kipolisi eneo la Rufiji itakayoongozwa na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Onesmo Lyanga.
Aidha, Sirro ameeleza kuwa matatizo ya maeneo ya Kibiti hayawezi kuisha kwa nguvu ya Polisi pekee bali yataisha kwa ushirikiano na wananchi wa maeneo hayo.
Nilipaniki kaka sio kwa speed ile niyokuwa nayo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu mimi mbona nilisema naenda ku like huku nyuma nitakutana nayo huko nyuma?
Hahaa huyu sijui ni nani huyuMmoja akabanwa hapa ujanja akakosaView attachment 533169