Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kula likesKuna mwingine anaitwa mtama wa watoto
Haahhahaha!! Thisi izi tuu machi.
Pole kwa kukosea njia mkuu.Hivi huu uzi vp...! maana hadi unakera kila siku upo huku mbelembele sijui nani anaufufua...Me binafsi siumandi hata kidogo kama vipi utulewe tu hapa.. maana hakuna cha maana kinachojadiliwa hapa..
Anatisha haswaaHuyu anatafuta nini hasa?! Mwambieni natibu maradhi hayo [emoji131]
Hapa na mkuu labda notification ndio zilichelewa ila huo mda sijawahi kuingia jfIla we sikufikii kaka. Kuna siku nilishtuka saa 11 asbh nikakuta Kichwa Kichafu upo Online unagonga Likes tu.