Ni mnyama mwenye uwezo wa hali ya juu sana kwenye kuhisi harufu, ila si mwenye kuona vizuri (poor sight) kwa ajili hii basi mnyama huyu hutembea kutafuta chakula usiku (noctunal) huweza kutembea maili chache kila usiku na kutumia shimo kama nyumba yake kwa takribani mwezi mmoja.
Kakakuona huishi maisha ya kujitenga au mmoja mmoja( solitary) ingawa pia hutokea dume likawa na jike nyumba moja kwa muda, pia mama hukaa na mtoto wake mpaka miezi minne.
Mtoto huzaliwa amepauka (pale) na magamba laini ambayo huanza kukomaa ndani ya siku ya pili ya maisha yake. na hutembea na mama yake juu ya mgongo na wakati wa hatari kujiviringisha ndani ya mama yake.
Watu wengi hufikiri kwamba anayewakaba wakiwa usingizini ni "Jini" lakini tendo hilo kwa kitaalamu linajulikana kama “Mwili Kupooza Katikati ya Usingizi” (Sleeping Paralysis). Tendo hilo huwa linakutokea katika muda wa sekunde 20 lakini wewe unayehusika utahisi umekabwa kama dakika 5 au 10
WhatSapp Ina Wahandisi (Engineer's) 50 Tu, Ambao Ndio Wanaoiendesha WhatsApp.
Kwa Maana Hiyo Kila Mhandisi Mmoja, Ana Shughulikia Zaidi Ya Watu Milioni 18 Ambao Wako Active Duniani.