Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] hivi nae anakuwaga na siku zake za "mwezini"? Nawaza tu ikiwa nani hii zote tatu... halafu...
Siku za mwezini? Ulishaona ng'ombe au kondoo akiwa kwenye siku zake za mwezini? Baadhi ya wahafidhina wa Thiolojia wanadai kuwa mnyama pekee anayeona siku zake za mwezini laivu ni Homo Sapiens (+ke) na ni adhabu baada ya kutuingiza matatizoni pale Eden Bustanini...
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…