Asante sana nipo kibiti sasa nimeanza kuwa mwenyejiKaribu sana mkuu, kwetu pazuri
Me ndo manalizia hapaNaona notification zako mi nimepita zamani huko
Wakuu huyu jamaa viph [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1]Hivi huu uzi vp...! maana hadi unakera kila siku upo huku mbelembele sijui nani anaufufua...Me binafsi siumandi hata kidogo kama vipi utulewe tu hapa.. maana hakuna cha maana kinachojadiliwa hapa..
But ni (Povu) joking tu wakuu sina la kutyping ndo maana...Ila tupieni LIKES hapa kama kalambwanda wakuu
We gotta be happy my dada.You know we live only once so furaha ni muhimu sana.Happiness from within.Nacheka post za humu ndani walahi
HiHlw babie!
mkokoteniSuzuki carry
Kumbe eeeeeeh
Za 1hr ago nyingi hazina likesHebu ziquote ili nirudi kama bado sijapita ila sidhani hebu niquote