Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mikono ya nani hii
Halafu umenifundisha katabia kabaya ka ku zoom picha kutafuta mikono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ile picha ya sato fresh huna nashida na ile mikono[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Bado akiwa mafunzoni London, Nov mwaka huo huo Carlos alipiga tukio la kushtukiza ambapo katika siku 1 kulikua na uvamizi wa mabomu katika benki ya Israel tawi la London na kituo cha gazeti 1 maarufu la Israel. Magari na majengo yaliharibika lakini hakukuripotiwa vifo wala majeruhi. Baada ya shambulio hiyo ndipo Carlos aliingia rasmi kwenye ligi la wababe Ulaya, akateka rasmi attention ya vyombo vya ulinzi na usalama.
● Dec 30 1973, Carlos aliamka mapema kabisa, akafungua briefcase, akashika mafuta na kitambaa akasafisha pisto yake aina ya Tokaruv, kisha akahesabu risasi 4 akazitia kwenye magazine. Akachukua sigara akavuta vipisi viwili kisha safari ya kuelekea nyumbani kwa Josef Sieff ikaanza.
Josef Sieff alikua mfanyabiashara mkubwa Uingereza mwenye damu ya kiyahudi na pia alikuwa mwenyekiti wa shirikisho la kizayuni la Uingereza (British Zionist Federation), huyu jamaa mara kadhaa alitoa matamko ya kulaani viongozi, vyama vya ukombozi na wananchi wa Palestine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…