Ndio unaitwa "Mwema"Kuna ule wa siwezi jizuia aiseh naupenda bila sababu
Samahani shem...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona una hamu na mimi si bure.
Numbisa kuna mtu anatumiwa desikesheni huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaone...
24/7 Antenna ziko on kunusa nusa huku na huko ili kachomekee tuumbea wheneva posibo. Kamliwaze shogako huko anaumia [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa naenda kulala ila ngoja kwanzaMaex huwaga na matatizo kweli. Anakuwa hakutaki halafu ukipata mwingine inamuuma. Whai?
Itakuwa limbwata la k[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui ebitoke aliwwka nini kwenye chuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nani aliyetelekezwa mwezi mzima?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilitoa talaka kwa moyo mmoja kabisa,sikutelekezwa mwezi mzima hapa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Pigana na wewe upate mwaliko wako. Huoni mi nahangaika. Ohoo !!!
Naupenda sana huo wimboNdio unaitwa "Mwema"
KAMA ENZI ZA ZE UTAMU...YAANI RAHA
UTAMU RAHA UTAMU
Hakika kasmart[emoji4]Naona shiro, lov in the air
Ulivyo muoga sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani shem...
Naondoka sasa...
Nyote mkawe na usiku mwema...
This was a good day...
TUMSHUKURU MUNGU WETU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Polee kwa kikohozi jiraniKoh koh koh
Upo vizuri sana aisee, unaweza kureplay siku nzima, dada ana sauti nzuri sana yuleNaupenda sana huo wimbo