Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yap bro, labda utakuwa unasemea mtori na sio makande tena yale ya njugu + karanga,,, aiseeEti makande kama mtori[emoji23]
Basi mimi ntakuwa kwakuwa sipendi sana makande
Kweli bro, hata mm nmenotisi hayajui makandeMwanaume wa Dar pengine hata makande hayajui [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hujui kande mkuu
Sema usiku mwema mkuu unavyoaga kama unakufa bhana...Kwaherini wakuu