Nani huyo braza unajiadd sana bhna [emoji23]Eeeh
Naona anakupeleka sayari ya 3
Katisha
Duh!Shunie
HahahajaNani huyo braza unajiadd sana bhna [emoji23]
Muache kalalaLedada
Mbona unashtuka broDuh!
[emoji23] [emoji23]Muache kalala
Hivi unajua kimataifa mimi huwa ni mjerumani alafu Argentina ndio wanafataHahahaja
Nlikuwa nakuzingua tuuu
Aseee kombe la dunia kikosi chenu cha Argentina kisha tajwa
Wewe dada yako hujui mimi ni nani yake[emoji23] [emoji23]
Dada angu huyo naruhusiwa kumtaja any time
TumeshaamkaWalolala waambie kumeshakucha
[emoji3] [emoji3]Niluona watu wamekusifia kishenz
Nikaingiwa na wivu na hasira
Skuchangia
[emoji124]
MmmhHivi unajua kimataifa mimi huwa ni mjerumani alafu Argentina ndio wanafata
Hahah ukweli ndio huo mkuu amini hivyoMmmh
Hii ujerumani yangu imevamiwa aki
Wewe ni ni nan yake kwani? [emoji1]Wewe dada yako hujui mimi ni nani yake
Huyajui makande...Makande hayashibishi
I said it
Karibu muda wa masela huuTumeshaamka