Karibu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado video taratibu tutaona yoteeeeeShkamoo mama mkwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sweetlee maa njoo wigi lako limeonekana kwa aunt ezekiel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kanatia huruma haka kachuchunge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]sana tuYani kanatia huruma haka kachuchunge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kila siku unaibuka na jipya mtoto wa kishua,boarding watu wanakula makande kama mlo wa usiku na wanalala vizuri tu. Majumbani makande yanaliwa vizuri tu asubuh,mchana hata jionEti makande kama mtori[emoji23]
Basi mimi ntakuwa kwakuwa sipendi sana makande
Wa kishua hata mahind yenyewe unayafahamu?mahaharage je au njugu mawe tuanzie hapo kwanza[emoji2] [emoji2]
Wakija kwani mi ntaonekana
[emoji125]
Hivi wenzangu kande huwa mnapikaje mpaka mnasema zina shibisha?
Kabisaa kuna kande ngumu no chuzi zile unashushia maji au chaiMaybe,, au zinakosewa katika upikaji aisee
Au makande ya huko Dar watakuwa wanayapika kama mtori mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazijua kande lakini? Au tunaongelea vitu viwili tofauti? Ule kande za ukweli halafu uwe umelala na njaa tu? Watu wa Dar mna vituko kweli aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah! IssokeyYaan kila siku unaibuka na jipya mtoto wa kishua,boarding watu wanakula makande kama mlo wa usiku na wanalala vizuri tu. Majumbani makande yanaliwa vizuri tu asubuh,mchana hata jion
Mi siyo wa kishuaWa kishua hata mahind yenyewe unayafahamu?mahaharage je au njugu mawe tuanzie hapo kwanza
Mi siyo wa kishua
Na vyote navifaham
Sema sjiskii tu kuwa kande inashibisha
Labda kama ulikua day scholar,ila boarding nying wanapenda makandeYeah! Issokey
Sisi shuleni hatukula makande, but nayajua na kwangu i dont feel them.