Yeah may be kwa kuwa pia sipendi kandeMakande yanashibisha sana tu yale mahind si mchezo na maharage au njugu mawe pia kuna wwngine hawajui kuyapika ndo maana
Nilikuwa boarding tena ya serikali na hatukula makandeLabda kama ulikua day scholar,ila boarding nying wanapenda makande
Yupi anataka kumla mwenzake?
View attachment 778655
Ndio mtindo wa kisasa.Toa kama unavyopewa
Huyu ndege kwa urefu huo,
asubuhi ya supu
ShikamooMakande yanashibisha sana tu yale mahind si mchezo na maharage au njugu mawe pia kuna wwngine hawajui kuyapika ndo maana
Mambo niaje.Mi siyo wa kishua
Na vyote navifaham
Sema sjiskii tu kuwa kande inashibisha
MarahabaaaaaShikamoo
Siamin hii kituNilikuwa boarding tena ya serikali na hatukula makande