myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
duh!jf ina ID nyingi kuliko makinikia
KabisaaHapo sasa, anakuchukulia poa eee!!!
Timu yake wanabisha ila wakubali tu binti hapendwi katumika tu kumng'oa zari madale na sio kuolewa
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu hakwenda kwenye hio shughuli kakalia kukosoa wenzie
Nikila nyonyo (kande) wakati wa chai asubuhi huwa sili mchana labda nitaihisi njaa jioni.Unazijua kande lakini? Au tunaongelea vitu viwili tofauti? Ule kande za ukweli halafu uwe umelala na njaa tu? Watu wa Dar mna vituko kweli aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Timu yake wanabisha ila wakubali tu binti hapendwi katumika tu kumng'oa zari madale na sio kuolewa