myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tummoghele=TumshangilieManeno yanasemaje?
Haahahahaha!Na wewe umeibua au unajiimbia tu? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji122][emoji122]Mambo yetu hayaaa
Cc SWEETHEART [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mabachala - bachelors. Makapera. Watu ambao hawajaoa. Unapika ugali na hao dagaa unawakaanga tu (au unawageuza geuza tu kwenye chumvi) kwa sababu kuwaunga ni kazi pevu...Chakula cha mabachala ??? Mwanza hz dagaa zinapatikana [emoji2][emoji2]kipindi nipo chuoni Sauti asee nilitumia dagaa hawa kama sina akili
Hahahaaa HatareMabachala - bachelors. Makapera. Watu ambao hawajaoa. Unapika ugali na hao dagaa unawakaanga tu (au unawageuza geuza tu kwenye chumvi) kwa sababu kuwaunga ni kazi pevu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yako !!!
Uzi huu sasa hakuna kuuliza. Ukiona dedikesheni unajiungamo tu. Mtajuana huko mbele ya safari...