ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ntakupatia vyanzo (sources & websites). Subiri kidogo.Naombeni msaada wenu wakuu.
Natafuta sana movie za Kihindi za zamani (1940-2000) zenye good quality na subtitles za Kiingereza.
Nimejaribu kuzitafuta naona nakwama. Uungwana na kuomba msaada kwa wanaojua/fahamu wapi naweza zipata.
Huku mitandaoni hakuna good quality sana (Youtube zimejaa lakini hazina Subtitles)
Msaada mwenye kujua anijuze nawapata wapi wadosi wangu wa kitambo kina Amitabh Bachchan, Dharmendra, Sunny Deol na wengineo watabe orijinali.
Oh now we know ..[emoji23][emoji23]
He is fine
NAKUPENDA SANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nataka kucheza na wewe [emoji445][emoji445][emoji445]
Sichezi na wewe[emoji445] [emoji445] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Oh now we know ..
Wapo hapa, waulize. Jakito ni mkweli kiasi usimtegemee sana pyaar.Hili kwangu ni jipya
[emoji474][emoji474][emoji474][emoji474][emoji474][emoji474][emoji474]Kuja.hapaaaa
[emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470]
[emoji23][emoji23] wapi tena?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]